Jumatatu, 5 Februari 2018

Ujumbe huu upo Kwenye Kitabu changu cha KARIBU KWENYE NDOA, (Jiandae Kwa Ajili ya Ndoa).

1 Timotheo 2.9 Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani.
Tito 2:3 Vivyo hivyo na wazee wa kike wawe na mwenendo wa utakatifu; wasiwe wasingiziaji, wasiwe wenye kutumia mvinyo nyingi, bali wafundishao mema;
2.4 ili wawatie wanawake vijana akili, wawapende waume zao, na kuwapenda watoto wao;
2.5 na kuwa wenye kiasi, kuwa safi, kufanya kazi nyumbani mwao, kuwa wema, kuwatii waume zao wenyewe; ili neno la Mungu lisitukanwe.
2.6 Vivyo hivyo na vijana waume uwaonye kuwa na kiasi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni