"Ila ndoa iliyokosa Utii na Heshima, ni sawa na nyumba, yenye nguzo zilizoliwa na mchwa, lolote la kutokea huweza kutoke muda na majira yoyote yale.
Yamkini unajiuliza na upendo je? Upendo ni sawa na paa la nyumba, ila Utii na Heshima, ni nguzo. Msingi ni Mungu."
"Kijana: Ukijiona leo hatii wala kuheshimu wazazi, walezi wakubwa zako, na hata watumishi, “is euvalent to the marriage”, yani nivyo itakvyokuja kuwa kwenye ndoa, kwa hiyo, anza kujipana mapema, ili kwua na maisha mema.
Epuka masha ya kila uchwao upo kwa wazzi, kila siku vikao, kila majira, numi a mapiano hayaihi hko kwako, wkani umeena hapo kusomea au kuchukua mazoezi ya ubondia?
Hapa! Sasa mbona unajipanga kuishi hivyo, Heshimu wazazi, watii na uwasikilize, ili baadae uje kuwa salama, hutaki kunisikia, mie nakwambia kua uje uyane, sio magorofa ya Ilala, wala ya landon, ni aina fulani ya maisha.
NB: (Tabia ya leo ndo maisha ya kesho.)
Mzzi: Mwanao akiwa na hili tatizo leo, jiandae kukaa vikao vya suluhu kila uchwao, wala usiwe mwepesi sana wakukemea, pepo la mafarakano, japo kufanya hivyo ni sawa, ila uwe mwepesi, wa kukumbuka kuwa samaki mkunje angali mbichi, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, … mguu huota tende, na wewe mtoto, utanena haya, asiyesikia la mkuu au la wazazi, huvunjika guu.
Majuto ni mjukuu, na …. Huja baada ya tendo.
Mie nitajisemea hivi, haja ya mja hunena na mungwani ni vitendo.
"

Na Mwalimu
Oscar Samba #UgMinistry #SHARE #SAMBAZA Ili kueneza injili hii Zaidi.
Kama
hujaokoka na unataka kuokoka ama ulirudi nyuma kiroho na unataka kutengeneza na
BWANA kwa upya leo, tafadhali fuatisha nami maneno haya kwa Imani, Sema: BWANA
YESU, NINAKUPENDA, NINAKIRI NA KUAMINI MOYONI MWANGU KUWA WEWE NI MUNGU,
ULIKUFA NA KUFUFUKA KWA AJILI YANGU, INGIA NDANI YANGU KAMA BWANA NA MWOKOZI WA
MAISHA YANGU LEO, AMENI.
Hongera kwa
kuokoka na tafuta kanisa la watu waliokoka ukasali hapo.
Na Huduma ya
UKOMBOZI GOSPEL, Arusha Tanzania, Kwa Maombi, Ushauri, Maswali au Sadaka
wasiliana nasi, Barua pepe: ukombozigospel@gmail.com
Simu: +255 759 859 287 pia waweza itumia kwa M-PESA. Zaidi www.ukombozigospel.blogspot.com
Pia #Like
#Penda Page/Ukurasa wetu au kundi la Fb, ili kupata
habari hizi kwa haraka, zaidi. @ugukombozi Gospel
Pia kwenye mtando
Mpya wakitanzania wa
Pia TAZAMA VIDEO ZETU
HAPA https://www.youtube.com/channel/UCv1tghnugOSpbmb5h6ebJtA (Ukombozi Gospel)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni