Jumatatu, 5 Februari 2018

HABARI NJEMA, huduma ya Mwalimu Oscar Vitabu Inatarajia kutoa Vitabu 6 kwa Pamoja,

 Ikiwemo kitabu cha, 1. KARIBU KWENYE NDOA, 2. VUKA UJANA SALAMA. 3. MAMBO MUHIMU KWA MAMA MJAMZITO. 4. MTU WA NNE. 5. UPONYAJI WA MTU WA NDANI. 6. UZURI WA MBINGUNI.
Kaa Mkao wa kuvipokea, Kumbuka huduma hii imeshatoa Vitabu vingine viwili, amabvyo ni. 1. USIFIE JANGWANI na 2. ISHI SALAMA KWENYE NDOA CHANGA.
Vitabu hivyo vitarajiwa hapo juu vitatoka mwezi ujao, wa 2, mwaka huu wa 2018.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni