Katika mada ya kwanza ya
1.
UWEZA
WA YESU KATIKA JARIBU UNALOPITIA.
Wakina Meshaki
shedraki na Aberinego wakiwa ni watu wa tatu, walitupwa kwenye tanuru la moto
na mfalme Nemkadreza, ili kuwaangamiza, lakini katikati ya huo moto, Yesu
alijitokeza kama Mtu wa Nne na kuwapigania.
Nawe
haijalishi ni mahali pa gumu kiasi gani unapitia, ninachokwambia ni kwamba,
Yupo Mtu wa Nne katikati ya huo moto, yaani Yesu Kriso wa Nazareth na yuu
tayari kukusaidia, Naam, sio kwamba yuu tu, tayari, bali ameshaanza harakati za
kukusadia, maana huo moto, ni mkali ila hauunguunguzi, kama ilivyokuwa kwa
vijana hao wa tatu, walikuwa kwenye moto, lakini moto ule, ulifanyika maji baradi,
kwa macho ya mwili jaribu hilo ni zito, ila kwa macho ya imani ninayotaka uwe nayo
au ninayokuvuvia, ni maji baridi, na hii ndiyo kazi ya Mtu wa Nne.
………
Tafadahali
Kitabu kikitoka usikikose..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni