Na Mwalimu
Oscar Samba #UgMinistry #SHARE #SAMBAZA Ili kueneza injili hii Zaidi.
Ni muhimu
kulifahamu jambo hili ili likuongeze imani katika matumizi ya jina la Yesu na Damu
yake, hali itakayokuongezea mamlaka, upako, nguvu za kiroho, kibali, mafunuo,
mafanikio kihuduma, kupigana na kushinda vita vya kiroho.
Pia ,,,,,,
Jambo muhimu
kuliko yote kufahamu ni kwamba Damu ya Yesu ina nguvu kuliko jina la Yesu, na
ni kwa sababu jina la Yesu uweza wake wa kufanya kazi pamoja nawe, unategemea
umwajikaji wa Damu ya Yesu pale msalabani na imani uliyo nayo juu ya Kufa na
Kufufuka kwa Yesu kiagano.
Ukilifahamu
jambo hilo, litakusaidia wewe unayetamani kuwa na upako mkubwa, na matendo makubwa
kimiujiza na hata kiuponyaji.
Lakini pia unayetamani
kutoka wenye vifungo mbalimbali, ambavyo vimefanyika nira kwako, na hata vile
vya kurithi, Damu hii na jina hili la Yesu ni silaha tosha kwako.
Sababu:
1. Ilimwagika
Kiagano,
2. Ilimwagika
Kisadaka,
3. Ni Damu
ya Mtu Asiye na Dhambi,
4. Alipitia kwa Ibrahimu,
5. Sadaka ya
Ibrahimu kwa Isaka,
6. Haikuchanganyikana na ya Mwanadamu, yaani alizaliwa kwa uweza wa Roho Mtakatifu,
na Kibaolojia mtoto hashiriki Damu na mama,
7. Damu ni Uhai,
8. Ni damu ya Pasaka, kwa Mujibu wa maandiko Pasaka sio siku
kuu bali ni ….
….
Kitabu
kikitoka, kitafute, niombee maana ndo nimekianza leo.
Kama
hujaokoka na unataka kuokoka ama ulirudi nyuma kiroho na unataka kutengeneza na
BWANA kwa upya leo, tafadhali fuatisha nami maneno haya kwa Imani, Sema: BWANA
YESU, NINAKUPENDA, NINAKIRI NA KUAMINI MOYONI MWANGU KUWA WEWE NI MUNGU,
ULIKUFA NA KUFUFUKA KWA AJILI YANGU, INGIA NDANI YANGU KAMA BWANA NA MWOKOZI WA
MAISHA YANGU LEO, AMENI.
Hongera kwa
kuokoka na tafuta kanisa la watu waliokoka ukasali hapo.
Na Huduma ya
UKOMBOZI GOSPEL, Arusha Tanzania, Kwa Maombi, Ushauri, Maswali au Sadaka
wasiliana nasi, Barua pepe: ukombozigospel@gmail.com
Simu: +255 759 859 287 pia waweza itumia kwa M-PESA. Zaidi www.ukombozigospel.blogspot.com
Pia #Like
#Penda Page/Ukurasa wetu au kundi la Fb, ili kupata
habari hizi kwa haraka, zaidi. @ugukombozi Gospel
Pia kwenye mtando
Mpya wakitanzania wa
Pia TAZAMA VIDEO ZETU
HAPA https://www.youtube.com/channel/UCv1tghnugOSpbmb5h6ebJtA (Ukombozi Gospel)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni