Jana Huduma ya MWALIMU OSCAR SAMBA VITABU ilifanikiwa kuzindua vitabu viwili, ambavyo ni USIFIE JANGWANI na ISHI SALAMA KWENYE NDOA CHANGA.
Na zifuatazo ni picha za tukio hilo:
|
Mkurugenzi wa huduma ya MWALIMU OSCAR VITABU, Mwalimu Osar Samba akinena jambo wakati wa kusoma risala kwa Mgeni Rsimi. |
|
Mgeni Rasimi Emmanueli Shilatu, akifuatilia jambo, pia ni Mkurugeni wa Shule ya PRE & PRIMARY KING DAVID |
SHOOL.
|
Makabidhiano ya Risala |
|
Mkurugenizi, Mwalimu Oscar Samba na Mchungaji wake kiongozi Aloyce Mbughi wakifuatilia Hotuba ya Mgeni Rasimi |
|
Watumishi na Mgeni Rasimi wakiviweka Wakfu vitabu na huduma hii. |
|
Muonekano wa kitabu cha UFIE JANGWANI |
|
Muonekano wa Kitabu cha ISHI SALAMA KWENYE NDOA CHANGA. |
|
Wa Kwanza Kulia ni Kefa na wapili ni Bensoni Gerad Mremi, wakifuatilia matukio kwneye hafla hii. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni